Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
π sio maneno yangu ni ya mkia mwenzio rage,mnyero fc mna kazi kubwa sana kufuta umbu3 maana wote akili zenu zinafanana,eti leo mnashangilia ceo wenu kupiga picha kwenye klabu ya al ahly while partner wetu ni mwana final wa super cup kakipiga na bayern juzi ππNyani fc in Eymail bwekaz
simba chini ya mwamedi wamehonga kupta hii sifa ,dah utopolo tunaonewa sana
View attachment 1577922
UTOPOLO hawatakuelewasimba chini ya mwamedi wamehonga kupta hii sifa ,dah utopolo tunaonewa sana
View attachment 1577922
Mlandege ndio type yenu nyie uto.Γ Β½ΓΒΈ sio maneno yangu ni ya mkia mwenzio rage,mnyero fc mna kazi kubwa sana kufuta umbu3 maana wote akili zenu zinafanana,eti leo mnashangilia ceo wenu kupiga picha kwenye klabu ya al ahly while partner wetu ni mwana final wa super cup kakipiga na bayern juzi Γ Β½ΓΒΈΓ Β½ΓΒΈ
Sijaongelea bongo. Nimesema tu, yatajulikana yote kwenye klabu bingwa.Piga dua turudishe zile nafasi 4.. Simba kimataifa hapa bongo hakuna wakubisha.
Hiyo butua butua unasema wewe usitake kunilisha maneno.Ndio maana T.Prisons iliwasumbua kupata magoli.
Butuabutua ndio unasema mipango mkuu..??
Ndio maana Eymael aliwaita uneducated hawajui chochote kuhusu mpira wako kama manyani na kubweka kama majibwa halafu wakasema wametukana kumbe waliambiwa ukweliPale Yanga Wale GSM wamewekeza kwenye midomo ya mashabiki.
Yaani wanachoongea nje ya uwanja ni tofauti na wakiwa uwanjani... (Pumba tupu)
Safi Sana mkuu kwa kuwa mkweli. Ni Kama nilivyokuwa nawakubali Yanga ya akina KAMSOKO, MSUVA, BOSOU, KASEKE, NGOMA, NIYONZIMA, JUMA ABDUL, MBUYU TWITE.Tuache unafiki tu Simba mpo vizuri Sana dah nawaonea wivu
Sasa sikiliza maneno ya mshabiki mwenzenuπ sio maneno yangu ni ya mkia mwenzio rage,mnyero fc mna kazi kubwa sana kufuta umbu3 maana wote akili zenu zinafanana,eti leo mnashangilia ceo wenu kupiga picha kwenye klabu ya al ahly while partner wetu ni mwana final wa super cup kakipiga na bayern juzi ππ
TUTAWAKERA oct 18mimi ni shabiki wa kugala gala wa deportive de utopolo nasemaje nyie simba ni chuo cha soka ila tukutane oct 18 mfumo tutakao cheza ni 4:4:2 diamond, mbele tukiwa na super striker kuwahi kutokea tz SENZO MBATHA MASINGISA
Uto kukubali ukweli hawataki.. Ila ukiwauliza nani bingwa wanasema SimbaSafi Sana mkuu kwa kuwa mkweli. Ni Kama nilivyokuwa nawakubali Yanga ya akina KAMSOKO, MSUVA, BOSOU, KASEKE, NGOMA, NIYONZIMA, JUMA ABDUL, MBUYU TWITE.
Hii YANGA ilikuwa kisanga
Ulikuwa ukweli..Ndio maana Eymael aliwaita uneducated hawajui chochote kuhusu mpira wako kama manyani na kubweka kama majibwa halafu wakasema wametukana kumbe waliambiwa ukweli
We jikune tu.. KLABU BINGWA NI Simba, Utopolo ni dada mtazamajiSijaongelea bongo. Nimesema tu, yatajulikana yote kwenye klabu bingwa.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hilo ndio mjiulize sasa nyie Uto.. Now tuna 3 tunaenda kubeba la 4.Kwa msaada wa Karia au? Wakati mnabeba mara izo 10 sisi wengine tutakua tumechuchumaa tu?
Habari hizi zimfikie Shadeeya popote alipoNdugu salaam....
Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali.
Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi kipaji kama hiki ndani ya Ligi kuu Tanzania... Huyu ndie MCHEZAJI BORA MPAKA SASA HAPA NCHINI.
>>Huyu ndie aliipeleka Simba Makundi ya CAF NA ndie aliwavusha kwenda Robo fainali CCL.
*LUIS JOZEE MIQUISSONE chinga wa msumbiji Konde BOY unapata Quality ya hv hapa Bongo, anatumia miguu yote, chenga, speed na TAKATAKA ZOTE unazipata kwa LUIS.
*MOHAMED HUSSEIN beki ya kushoto yenye vinasaba vya Winga ndani yake.
*SHOMARI KAPOMBE Kitasa cha kulia, unakabwa, unachengwa unakimbizwa anavyotaka.
*JONAS MKUDE Nungunungu BABA YA MIDIFIELDER Tanzania Yupo Simba utataja nani tena.
*RALLY BWALYA The Locomotive Left Footer Super Maestro... sasa huyu mtazame kwa macho yote na miwani juu ni hatari kirusi nyuma.
*BENARD MORRISON speed 120 Yenye malengo sio wale wanaokimbia bila Uelekeo.
MANULA, WAWA, FRAGA, KAGERE
Yanga kupigwa goli nyingi na Simba nikawaida yake rejea 5-0,.. we unaona 4-1 Tu.Baada ya chetua chetua ya morrison march 8 mkaona mnunue wachezaji wetu,caf hamna hiyo,mmeenda kujipendekeza egypty kabisa ili msile 5 tena,caf 5 azikwepeki
Akiliangalia hili kosi la Wanalunyasi lilivyoenea basi hatamani kabisa ifike October 18πππShadeeya anachungulia tu anakimbia..