High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Nyani fc in Eymail bwekaz
😀 sio maneno yangu ni ya mkia mwenzio rage,mnyero fc mna kazi kubwa sana kufuta umbu3 maana wote akili zenu zinafanana,eti leo mnashangilia ceo wenu kupiga picha kwenye klabu ya al ahly while partner wetu ni mwana final wa super cup kakipiga na bayern juzi 😀😀
 
Attachments

  • VID-20200911-WA0025.mp4
    1.6 MB
í ½í¸ sio maneno yangu ni ya mkia mwenzio rage,mnyero fc mna kazi kubwa sana kufuta umbu3 maana wote akili zenu zinafanana,eti leo mnashangilia ceo wenu kupiga picha kwenye klabu ya al ahly while partner wetu ni mwana final wa super cup kakipiga na bayern juzi í ½í¸í ½í¸
Mlandege ndio type yenu nyie uto.
Acha Simba ipasue mawimbi, nyie andaeni tu timu ya kushangilia CAF CL.
 
Tuache unafiki tu Simba mpo vizuri Sana dah nawaonea wivu
Safi Sana mkuu kwa kuwa mkweli. Ni Kama nilivyokuwa nawakubali Yanga ya akina KAMSOKO, MSUVA, BOSOU, KASEKE, NGOMA, NIYONZIMA, JUMA ABDUL, MBUYU TWITE.

Hii YANGA ilikuwa kisanga
 
😀 sio maneno yangu ni ya mkia mwenzio rage,mnyero fc mna kazi kubwa sana kufuta umbu3 maana wote akili zenu zinafanana,eti leo mnashangilia ceo wenu kupiga picha kwenye klabu ya al ahly while partner wetu ni mwana final wa super cup kakipiga na bayern juzi 😀😀
Sasa sikiliza maneno ya mshabiki mwenzenu
 
Attachments

  • VID-20200921-WA0006.mp4
    883.6 KB
mimi ni shabiki wa kugala gala wa deportive de utopolo nasemaje nyie simba ni chuo cha soka ila tukutane oct 18 mfumo tutakao cheza ni 4:4:2 diamond, mbele tukiwa na super striker kuwahi kutokea tz SENZO MBATHA MASINGISA
 
TUTAWAKERA oct 18
 
Safi Sana mkuu kwa kuwa mkweli. Ni Kama nilivyokuwa nawakubali Yanga ya akina KAMSOKO, MSUVA, BOSOU, KASEKE, NGOMA, NIYONZIMA, JUMA ABDUL, MBUYU TWITE.

Hii YANGA ilikuwa kisanga
Uto kukubali ukweli hawataki.. Ila ukiwauliza nani bingwa wanasema Simba
 
Kwa msaada wa Karia au? Wakati mnabeba mara izo 10 sisi wengine tutakua tumechuchumaa tu?
Hilo ndio mjiulize sasa nyie Uto.. Now tuna 3 tunaenda kubeba la 4.

Siku mkiweza kulipa mishahara na kuacha kusajili machezaji mabovu ya zoazoa Simba tutakuwa na ubingwa wa 7 mfululizo.

Mkiacha kufoji mikataba na kulalamikia makocha ndio hizo 10 zitakuwa zimefika.
 
Ndugu salaam....

Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali.

Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi kipaji kama hiki ndani ya Ligi kuu Tanzania... Huyu ndie MCHEZAJI BORA MPAKA SASA HAPA NCHINI.
>>Huyu ndie aliipeleka Simba Makundi ya CAF NA ndie aliwavusha kwenda Robo fainali CCL.

*LUIS JOZEE MIQUISSONE chinga wa msumbiji Konde BOY unapata Quality ya hv hapa Bongo, anatumia miguu yote, chenga, speed na TAKATAKA ZOTE unazipata kwa LUIS.

*MOHAMED HUSSEIN beki ya kushoto yenye vinasaba vya Winga ndani yake.

*SHOMARI KAPOMBE Kitasa cha kulia, unakabwa, unachengwa unakimbizwa anavyotaka.

*JONAS MKUDE Nungunungu BABA YA MIDIFIELDER Tanzania Yupo Simba utataja nani tena.

*RALLY BWALYA The Locomotive Left Footer Super Maestro... sasa huyu mtazame kwa macho yote na miwani juu ni hatari kirusi nyuma.

*BENARD MORRISON speed 120 Yenye malengo sio wale wanaokimbia bila Uelekeo.

MANULA, WAWA, FRAGA, KAGERE
Habari hizi zimfikie Shadeeya popote alipo
 
Baada ya chetua chetua ya morrison march 8 mkaona mnunue wachezaji wetu,caf hamna hiyo,mmeenda kujipendekeza egypty kabisa ili msile 5 tena,caf 5 azikwepeki
Yanga kupigwa goli nyingi na Simba nikawaida yake rejea 5-0,.. we unaona 4-1 Tu.

Hapa msimu ulioisha Kagera aliwapa 3-0, Nao walinunua wachezaji wenu?

Kuhusu kufungwa 5 huko CAF msimu huo tulifika ROBO FAINAL... Msimu huu Hatukubali hizo 5 Tuko IMARA.
 
Back
Top Bottom