High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Wanasema wachezaji wazuri unapata Simba. Kwa mavitu ya juzi unaweza ukarudia kuangalia clip hadi ukaunguza mboga au Shadeeya akapita mbele yako bila kumtupia jicho. Tehee
mmepiga bomu mochwari, mnajisifu mmeuwa! kuwafunga wale watafuna ugoro ndiyo mmeona mna quality players!
Tunasubiri champion league tuone quality ya hao wachezaji wanaosifiwa na hatutaki zigo mmuangushie kishingo kama kawaida yenu[emoji23]
 
tarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama uto
Njooni na matokeo mkipate kama mlichokipata march 8,baadae ndio mkaamua kununua wachezaji waandamizi ili muifunge Yanga,maduka yote tumetimua,njooni na matokeo ili mng'oe viti,morrison,juma,shishimbi n.k hao ndio mliowatumia game iliopita tumetimua wote
 
mi nilifikiri unasubiri tucheze tena kumbe umekubali muziki wa simba uko juu
 
Njooni na matokeo mkipate kama mlichokipata march 8,baadae ndio mkaamua kununua wachezaji waandamizi ili muifunge Yanga,maduka yote tumetimua,njooni na matokeo ili mng'oe viti,morrison,juma,shishimbi n.k hao ndio mliowatumia game iliopita tumetimua wote
hao wachezaji unaowataja mliwatimua au mlishindwana dau au mmesahau huyo Morison mlimtambulisha bado mchezaji wenu na mkadai mtaenda fifa nyinyi kweli uneducated, manyani na majibwa fc kama alivyosema aliyekuwa kocha wenu.
 
tarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama uto
wataongezea Senzo ana kadi ya simba huku wakisahau walimshangilia alipohamia
 
hao wachezaji unaowataja mliwatimua au mlishindwana dau au mmesahau huyo Morison mlimtambulisha bado mchezaji wenu na mkadai mtaenda fifa nyinyi kweli uneducated, manyani na majibwa fc kama alivyosema aliyekuwa kocha wenu.
We mbumbumbu au mnyero hivi morrison aliyewafunga march 8 ndio yule alietolewa siku ile akaondoka,au shishimbi na juma abdul ndio wale wa match ya 2-2?ile game mlinunua wachezaji wa Yanga 7,na hiyo yote ilikuja baada ya mnyero kuambulia point 1 kwenye vpl,ndio wakatumia njia ya tigo pesa ili mradi tu wawaridhishe mbumbumbu wenzao,
 
Kocha wenu aliwaambia hamjui kitu kuhusu mpira your uneducated, mko kama manyani kazi kubweka kama majibwa kama tulitoa pesa ilikuwaje kagera wakawapiga tatu mkifungwa mnatafuta sababu nje ya mpira
 
Auseum ndie aliwaambia uneducated akiendeleza kauli ya rage ya kuwa mnyero wote ni mbu3,vpl first game tulirudisha goli 2 ndani ya dk 5,sec game tukawafunga 1,kwenye fa wachezaji wale wale wakacheza mpira wa kipumbavu,morrison na wapumbavu wenzake walichokifanya siku ni kufuata maelekezo ya mnyero,bila makando kando mnyero hana uwezo hata wa kumfunga ihefu
 
Attachments

  • VID-20200911-WA0025.mp4
    1.6 MB
Auseum ndie aliwaambia uneducated akiendeleza kauli ya rage ya kuwa mnyero wote ni mbu3,vpl first game tulirudisha goli 2 ndani ya dk 5,sec game tukawafunga 1,kwenye fa wachezaji wale wale wakacheza mpira wa kipumbavu,morrison na wapumbavu wenzake walichokifanya siku ni kufuata maelekezo ya mnyero,bila makando kando mnyero hana uwezo hata wa kumfunga ihefu
Eymael alivyowaita uneducated, manyani na majibwa mnabweka ulikuwa wapi umepigwa nne bado unaweweseka subiri October 18 sijui utajificha wapi nyie ndio mnaanguka uwanjani kwa pressure za kujitakia
 
Ebu tuambie kuhusu kipigo cha Kagera cha 3-0 nani alihongwa?
 
Eymael alivyowaita uneducated, manyani na majibwa mnabweka ulikuwa wapi umepigwa nne bado unaweweseka subiri October 18 sijui utajificha wapi nyie ndio mnaanguka uwanjani kwa pressure za kujitakia
Hawa Utopolo kweli manyani.. ngoja tubebe ubingwa tena ili watimue tena wale akina Ray C wa Angola.
 
tarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama uto
Sababu hawakosagi vyura..
 
Jibu swali basi kwako ww chuo ni mahali,hali,au ni kitu gani.mm nmesema simba ni chuo cha mpira hapa bongo.Kama huna majibu ya kueleza nilipokosea kwa kusema simba ni chuo,basi wewe ni mpumbavu.
Kama hajaelewa amuulize Morrison.
 
mmepiga bomu mochwari, mnajisifu mmeuwa! kuwafunga wale watafuna ugoro ndiyo mmeona mna quality players!
Tunasubiri champion league tuone quality ya hao wachezaji wanaosifiwa na hatutaki zigo mmuangushie kishingo kama kawaida yenu[emoji23]
Hivi Champions League Yanga kumbe hawamo?

Msimu huu mtafukuza makocha mpaka mchoke.

Simba ndio tegemeo Kimataifa kwahiyo endeleeni kusugua benchi MABINGWA WATAMBE.
 
Aliwahi kusema mchambuzi mmoja na mimi nikakubaluana naye toka moyoni.
Alisema, Simba inacheza game ya show off ndio ipate matokeo halafu Yanga huwa haina jadi za show off sisi ni mipango tu ili mradi tupate matokeo ndio maana mpaka leo Young Africans ni mabingwa wa kihistoria.

Chama ni kisanga ila hayo mengine uliyoongeza unayajua mwenyewe.
 
Njooni na matokeo mkipate kama mlichokipata march 8,baadae ndio mkaamua kununua wachezaji waandamizi ili muifunge Yanga,maduka yote tumetimua,njooni na matokeo ili mng'oe viti,morrison,juma,shishimbi n.k hao ndio mliowatumia game iliopita tumetimua wote
Metacha Mnata nae hayupo?
 
hao wachezaji unaowataja mliwatimua au mlishindwana dau au mmesahau huyo Morison mlimtambulisha bado mchezaji wenu na mkadai mtaenda fifa nyinyi kweli uneducated, manyani na majibwa fc kama alivyosema aliyekuwa kocha wenu.
Wanakusanya nauli ya kwenda FIFA
 
We mbumbumbu au mnyero hivi morrison aliyewafunga march 8 ndio yule alietolewa siku ile akaondoka,au shishimbi na juma abdul ndio wale wa match ya 2-2?ile game mlinunua wachezaji wa Yanga 7,na hiyo yote ilikuja baada ya mnyero kuambulia point 1 kwenye vpl,ndio wakatumia njia ya tigo pesa ili mradi tu wawaridhishe mbumbumbu wenzao,
Sasa kumbe tatizo ni njaa ya wachezaji wenu..

Ndio maana wanalilia kuja Simba.
 
Back
Top Bottom