Hii awamu sio ya wananchi wa kawaida kabisa

Kazi ndo hizo mtu kanipiga pini 4 months mqmbo yangu yapo pending sababu za kijinga . Nafanya kazi gani sasa ! My part is done ila government part hadi ni mjue mtu
Polee sanaaa mkuu...
 
Uchumi wa nchi umehamia mifukoni kwa watu wachache, hali tete kitaa, njaa kwa watz ndio kitu pekee kitaitoa ccm madarakani, mama na team yake nchi imewashinda!
 
sasa chama kipi mbadara CHADEMA AU? unawashwa wewe lete chama mbadara chenye chenye sera za kuwagusa wananchi
 
sasa chama kipi mbadara CHADEMA AU? unawashwa wewe lete chama mbadara chenye chenye sera za kuwagusa wananchi
Anaewashwa hasa ni mama yako mzazi ambae alienda kudanga kupelekea kupata ujauzito wa mbweha mmoja kama wewe unaeparamia wanaume kwa matarajio ya kulawatiwa upate pesa ya bundle.
 
Anaewashwa hasa ni mama yako mzazi ambae alienda kudanga kupelekea kupata ujauzito wa mbweha mmoja kama wewe unaeparamia wanaume kwa matarajio ya kulawatiwa upate pesa ya bundle.
 
Attachments

  • Screenshot 2024-10-28 160044.png
    28.6 KB · Views: 3
Tatizo lenu mkiitwa kwenye maandamano kwenda kukataa ujinga wa Chura kiziwi na watu wake, wote mnabaki magetoni na kumuachia Mbowe, mwanae na Lissu. Halafu mkipigwa na kitu kizito hamuachi kulialia mitandaoni.
 
Kwa kweli nchi imelaanika kabisa hii, tuendelee tu tu kuishi ila mambo sio poa hata kidogo.
 
😔

sema bado ujakuwa and probably ni chawa
 
Mwambie aliyekutuma akatafute kiki nyingine ndio maana mambo Yako unayo push huyasemi Wala kueleza ulikokwama.

Mwisho unaemuita Mungu sio mjomba wako
 
Kwa kweli nchi imelaanika kabisa hii, tuendelee tu tu kuishi ila mambo sio poa hata kidogo.
Aliyewatuma amefeli kabla.

By the way mkome kabisa maana kama Kuna awamu mlinugmfaika basi wengine walikoma pia
 
Ulitakaje?
 
SERIKALI YA SASA NI YA RAIA FEKI WANAO AMINI WAO WAKILA NA KUNY*💩 NDIYO WAMEFUNGUA NCHI
 
Mwambie aliyekutuma akatafute kiki nyingine ndio maana mambo Yako unayo push huyasemi Wala kueleza ulikokwama.

Mwisho unaemuita Mungu sio mjomba wako
Chawa wewe enjoy tu . Ukila kuna awamu . Utajutia hizi hustle zote unafanya utalipwa mabaya time will tell. Enjoy
 
Hili neno Mungu ukiliweka kwa herufi kubwa otapendeza.

Ila pia kuhusu watanzania mi sidhani hata wao wenyewe wanajua nia aina gani ya kiongozi wanamuhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…