Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
🤣🤣🤣🤣 Daaaah,, kosa lake nini hapo mboweNa hili anaweza kuelekezewa lawama Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Daaaah,, kosa lake nini hapo mboweNa hili anaweza kuelekezewa lawama Mbowe
Shujaa Mwendazake kapiga sana hela kwenye hii mirad ya ujenzi awamu yakeHiyo barabara haina muda sana tokea ijengwe.....
Kuna uhuni sana kwenye ujenzi miaka ya hivi karibuni
Siku zote mimi mchina kwa kazi zake za ukandarasi africa simkubali
Ova
Kila siku mtakuwa mnajenga upyaHii barabara inahitaji kujengwa upya au matengwnezo makubwa, kweli imekua kero kwa watumiaji wa barabara hii
Tunajenga na nani?Kila siku mtakuwa mnajenga upya
Au ndiyo ule usemi,sisi tukale wapi!
Ova
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki mengi sana.
Nimeiangalia kwa jina la kizalendo na kugundua kuwa hii barabara inahitaji matengenezo makubwa.
Barabara hii ni mzigo kwa Serikali na walipa kodi.
Mbaya zaidi Wakala wa Barabara - TANROADS Dodoma wao wanachimba wanajaza udongo wanaondoka, tofauti na upande wa Iringa ambao wao wanaziba mashimo na wanajitahidi ku-maintain barabara.
Wananchi tumelalamika sana kuhusu hii changamoto, ukiangalia hapo kwenye video utaona jinsi gani ambavyo dereva unahitaji kuwa makini, la sivyo unaweza ajali ni nje-nje au kuharibu magari.
Boss wake akiwa nani?Shujaa ndie aliesimamia barabara hiyo akiwa waziri wa ujenzi
Hao walevi bado hawajawahi kukutana na barabara mbovu kweli.Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki mengi sana.
Nimeiangalia kwa jina la kizalendo na kugundua kuwa hii barabara inahitaji matengenezo makubwa.
Barabara hii ni mzigo kwa Serikali na walipa kodi.
Mbaya zaidi Wakala wa Barabara - TANROADS Dodoma wao wanachimba wanajaza udongo wanaondoka, tofauti na upande wa Iringa ambao wao wanaziba mashimo na wanajitahidi ku-maintain barabara.
Wananchi tumelalamika sana kuhusu hii changamoto, ukiangalia hapo kwenye video utaona jinsi gani ambavyo dereva unahitaji kuwa makini, la sivyo unaweza ajali ni nje-nje au kuharibu magari.
Mkuu hata miaka 10 haijatimiza ilianza kubomoka ikiwa Bado mpyaNa haina miaka 15 lakin imechoka vibaya mno
Si unajua chama chetu kilivyo🤣🤣🤣🤣 Daaaah,, kosa lake nini hapo mbowe
Kwa hii komenti yako unaonyesha ni jinsi gani ulivyo kiazi! Kama taifa tuna hasara kubwa sana ya kuwa na vijana wa dizaini yako .Shujaa Mwendazake kapiga sana hela kwenye hii mirad ya ujenzi awamu yake
Ninapopita hii barabara, kila ninapoingia shimo kwa nguvu nawatukana Mkuu wa Tanroads, kisha Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Miundo Mbinu, halafu Mbunge wa sehemu nayopita, kisha Mameneja wa Tanroads wa Dodoma au Iringa.Nimeiangalia kwa jina la kizalendo na kugundua kuwa hii barabara inahitaji matengenezo makubwa.
Barabara hii ni mzigo kwa Serikali na walipa kodi.
Mbaya zaidi Wakala wa Barabara - TANROADS Dodoma wao wanachimba wanajaza udongo wanaondoka, tofauti na upande wa Iringa ambao wao wanaziba mashimo na wanajitahidi ku-maintain barabara.
Wananchi tumelalamika sana kuhusu hii changamoto, ukiangalia hapo kwenye video utaona jinsi gani ambavyo dereva unahitaji kuwa makini, la sivyo unaweza ajali ni nje-nje au kuharibu magari.
Mchina hana shida, unawapa gavoo bajeti 30B wanakwambia ipunguze fanya kwa 20B, kampuni nayo inataka hela akikataa project wapo watakaofanya hata kwa 15B, so anakupa kitu cha hela yako.Siku zote mimi mchina kwa kazi zake za ukandarasi africa simkubali
😄 basi mkuu nmekuchokozaTunajenga na nani?
Ova
Mjapani ndomana alijiondokea zakeMchina hana shida, unawapa gavoo bajeti 30B wanakwambia ipunguze fanya kwa 20B, kampuni nayo inataka hela akikataa project wapo watakaofanya hata kwa 15B, so anakupa kitu cha hela yako.
Ilianza kuharibika mara baada tu ya kuzinduliwa hata mwaka haukuisha hasa kipande cha Dodoma-Mtera. Hapo Hayati alipigwa kama hakupiga yeye.Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki mengi sana.