Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Ila yule mkandarasi aliyejenga barabara ya Uyole Mbeya hadi Malawi ni mkandarasi bora kuliko wote katika barabara zote nilizopita,barabara ina zaidi ya miaka 25 lakini iko fresh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliizindua Magufuli mwenyewe akiwa Rais. Sasa kama yeye ndiyo alikuwa Rais, bosi wake alikuwa nani!?Jamaa alikua waziri, na nasikia alikataa kuizindua hiyo Barabara kwasababu hakuridhishwa na kiwango cha ujenzi. Lakini boss wake akaenda kuzindua.
upo sahihi mkuu... barabara bora sana ileIla yule mkandarasi aliyejenga barabara ya Uyole Mbeya hadi Malawi ni mkandarasi bora kuliko wote katika barabara zote nilizopita,barabara ina zaidi ya miaka 25 lakini iko fresh
Mkuu, Fuatilia vizuri. Jiwe la msingi lipo pale Dodoma Maghorofani. Alizindua Boss wake Magufuli na sio yeyeAliizindua Magufuli mwenyewe akiwa Rais. Sasa kama yeye ndiyo alikuwa Rais, bosi wake alikuwa nani!?