KERO Hii Barabara ya Dodoma – Iringa ni hatari kwa usalama wa watu na vyombo vinavyopita

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Barabara zote mpya zimechakaa balaa. Kuna ile ya kutoka Mbeya kwenda Chunya. Wamepanga hadi iende Tabora. Mashimo matupu. Sema waambie jamaa wasiwe wanaendesha wakiwa kinywaji, ni hatari kuliko mashimo😀
 
Na mbunge wa wakati ule malechela alichelewa sana kuwaletea maendeleo watu wa huko,hiyo barabara ilitakiwa ijengwe miaka 30 huko iliyopita

Ova
 
Barabara zote mpya zimechakaa balaa. Kuna ile ya kutoka Mbeya kwenda Chunya. Wamepanga hadi iende Tabora. Mashimo matupu. Sema waambie jamaa wasiwe wanaendesha wakiwa kinywaji, ni hatari kuliko mashimo😀
Kuna uhuni sana ktk ujenzi wa barabara unaofanyika
WANAJIHUJUMU WENYEWE HAWA

Ova
 
TANROADS POKEENI HII, INAWAHUSU.
 
Miaka hiyo mb malechela tunaenda huko njiaa ni ya vumbi
Unajiuliza hii dodoma to iringa Road,mbona ni barabara muhimu sana kwa kuunganisha iringa dom
Lakini haifanyiki kitu
Malechela hata siku moja sijawahi msikia akililia itengenezwe sana sana yeye anajltulia kwake mvumi tu

Ova
 
Barabara nzuri niliona Mbeya kwenda Sumbawanga ila ni miak imepita sijui nako sahiz hali ipoje
 
Toka miaka ya 2020 ilikuwa imeshabomoka sana
Hasa mkikaribia Dodoma mkishavuka mtera kule,ni noma sana.

Ni vile wengine tumetokea vijiji vya barabara za vumbi mwanzo mwisho tukawa tunaona normal tu.
 
Aisee vijana wa 2000 mna matatizo sana.
Si tumekesha hiyo njia enzi ni matope tunakunywa ulanzi tunaendelea na safari.
Hatujawai kuloloma.
We umekuta lami unaloloma,
Kanywe uji kwenu
 
Mkuu ivi
Mm huwa napenda kusoma alama za barabara lakin
Izi sijui T1 AU T2 au T16 huwa zizielewi
Msaada please??
 
Shujaa ndie aliesimamia barabara hiyo akiwa waziri wa ujenzi
Na ndiye aliyeizindua akiwa Rais... Na wakati anaizindua tayari ilikuwa imeshaanza kuwekwa viraka... angemfokea nani wakati yeye ndiye alikuwa waziri wakati inajengwa????
 
Hiyo ni barabara ya Kikwete sema Magufuli ndio alikiwa Waziri.
Magufuli ndiye aliyesimamia ujenzi wake na ndiye aliyeizindua akiwa Rais.

Historia huwa haipindishwi. Mbona miradi mingine iliyofanikiwa yeye akiwa Waziri hamsemi kuwa ilikuwa ni ya Kikwete??
 
Kwa hii komenti yako unaonyesha ni jinsi gani ulivyo kiazi! Kama taifa tuna hasara kubwa sana ya kuwa na vijana wa dizaini yako .
Punguza hasira kamanda, sio mimi niliyesababibisha mvua jijin hali usafir ni daladala. Lazima uwe na hasira tu 😂😂
 
Pia barabara ya makambako njombe , barabara ya mwanza[nyerere road](nyanguge hadi lamadi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…