Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

Hiyo mbona nzuri.Yaani Mad Max unatumia sedan kwenye barabara za kiwilaya na unalalamika?

Vipi ile ya kutoka Narco kuelekea kondoa via kiteto?

Kiufupi muanzia madiwani hadi wakuu wa mikoa ya SINGIDA,DODOMA,MANYARA na ARUSHA MATAKO YAO.
 
Hiyo barabara loh! Wahusika waitazame kwa jicho la huruma. In fact, ni kati ya barabara ambazo mwanzo mwisho hukutani na trafiki hata mmoja. Seems haina maslahi yoyote kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…