Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

Hii barabara ya Singida - Babati ni takataka.

Mkuu Mad Max...kuna vipande vya Dom-Iringa,Huko ulikopita na Igawa-Tunduma(Nipo huku sasa) tokea Same-Mbeya-Tunduma.
Hizi barabara kama huendeshi kwa kutumia akili ni za moto mno zinaogopesha.
 
Hiyo layer ya lami ni hardly 2.5cm thick. Aliyejenga hiyo barabara anastahili kuozea jela au apigwe shaba kama wanavyofanya China.
Aise Halafu nikiwafikiria wenzetu kama German na Autoban
Mwaka 1930 walipoijenga ilikuwa 20-25cm
Baadae wakaifanya 40cm
Unapita speed utadhani uko hewani
 
Kuna barabara Nchi hii saivi isiyo na mashimo?

DSM - Mtwara ipo hivyo hivyo
Igawa - Tunduma hivyo hivyo
Iringa - Dodoma hivyo

Yaani utasema Kuna mradi wa kufuga samaki kwenye hizo barabara Serikali ina mpango wa kufanya mwezi ujao wa mvua 🙌
 
Ikija Elnino
 
Back
Top Bottom