Hii baridi la Kilolo sio ya Mchezo

Hapo Mbona kuna joto nenda Mufindi uingie sehemu panaitwa Sawala
 
Sidhani kama hii ni kweli.
kiumbe yeyote hai anaetembe..akiishi sehem zenye joto anakua mkolofi mkurupukaji yaani hawana maamuzi ya kufikili tofautu na viumbe wanaishi sehem za baridi. hata kuku tu wakibanana bandani wanafikia kutafunana wenyewe.mnyama kiboko kina anavyoenda mbali na maji ndivyo anavyozidi kua na hasira zisizokua na sababu.
sasa fikilia hapa kwenye tanzania..ukiangalia ucbochoro wa kutokea mikoa ya pwani ,kati hadi magharibi utaona wao hawawezi kuhoji hata hakizao wenyewe.tofauti na mikoa kama njombe,mbeya ,iringa,kilimanjaro,arusha.
kama hutaki sikulazimishi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…