Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
- Thread starter
- #41
Huko napo nasikia sio mchezo.Hapo hakuna baridi njoo makete kama ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko napo nasikia sio mchezo.Hapo hakuna baridi njoo makete kama ulaya
Wana mateso hao watu balaa.Niliwahi fika ikonda hospital mwezi Juni,. Nilivaa Sweta lakini baridi yake ni kama shati tuu,. Sijui huko watu wanaishi vp!!
kuwa makini kuna watu hadi typing yako tu,....washakujua🧐Watu mmetembea, kumbe JF ni kubwa. Jamaa hapo juu anadai nyumba ya jamaa yangu anaifahamu kama nawe unavyopafahamu hapo alipopigia picha jamaa.
Hapo Mbona kuna joto nenda Mufindi uingie sehemu panaitwa SawalaLeo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.
Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.
Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni hii hapa kwake, kesho saa 7 naondoka niwaachie na taabu yao.
Ona hiyo Temperature inavyosoma.
View attachment 3117108
Hapa wameniwashia moto niote na shem ananiambia nikaoge. Hahaha hata kama maji ya moto, leo siogi.
View attachment 3117114
Wenyewe wanasema sasa ndio kipindi cha joto kwani wanakaribia msimu wa kuanza kwa mvua. 😀😀😀😀
Kipindi cha baridi ni kuanzia mwezi 2 hadi mwezi Septemba na peak huwa mwezi Juni hadi Agosti.😀😀😀
Kumbe ndio maana tunasikia watu wamefia ndani kwa kukosa hewa kwani wanapaswa mikoa na carbon monoxide inawaua.
Hatari ila huko unaweza ganda ukawa barafu.kuwa makini kuna watu hadi typing yako tu,....washakujua🧐
Carbon monoxide hiyo. Hatari sanaHii kitu ilitaka kuniuwa huko Mbeya, nililala na jiko bahati mbaya katika kujigeuza mto ukadondokea jikoni nikiwa usingizini, kuja kushtuka chumba kimejaa moshi nashindwa kupumua
Inaua faster.Carbon monoxide hiyo. Hatari sana
Nasikia huko ndo unapeleka Moto huku unaota MotoKAMA HAUNA DEMU utakufa
Baridi ya Arusha ni mrembo .Hiyo mikoa Njombe, Arusha, Mbeya na Iringa, baridi lake ni la ukweli sana baadhi ya nyakati. Katika yote Njombe inaongoza
Makende yanagandaNasikia huko ndo unapeleka Moto huku unaota Moto
-18 ni ☕️Niliwahi kua lushoto,kijiji cha irente, baridi lilifika 6C,Makambako lilifika 4..na Kuna mahala nilienda kutembea baridi lilikua -18C
Pole,tembea ujionee...-18 ni ☕️
Huwa inapanda sana mzee 😂😂😂Hawa jamaa sijui wanakaaje bar usiku na baridi hii. Wanaweza kuwa wanachemsha bia maana dah!!!!
This week kuna mtu kanitumia picha,mafinga Kuna snownyiee njombe ndio funga kazi aisee,,, asubuhi tulikuwa tukienda shule majani ya barabarani unakuta yameangukiwa na barafu
Huko ni hatari mkuu, 😁😁😁Uko makete mkuu au maana huo ukungu hapo nyuma si mchezooo
Yeah, baridi la iringa ni zuri hasa ukiwa na kibunda mfukoni... Mambo safi kabisa.Baridi la Iringa ni kawaida sana sema huwa nina enjoi sana unakula zako Bia na unakunywa nyama tu.
. Mita kadhaa ndo hospital ya Lugoda ilipo.. 😋 😋, kipindi hicho nipo na kampuni ya TNR kama uliwakuta..Mkuu hii picha ulipiga Lugoda Estate na hiyo barabara ni njia ya kwenda Lugoda hospital
kiumbe yeyote hai anaetembe..akiishi sehem zenye joto anakua mkolofi mkurupukaji yaani hawana maamuzi ya kufikili tofautu na viumbe wanaishi sehem za baridi. hata kuku tu wakibanana bandani wanafikia kutafunana wenyewe.mnyama kiboko kina anavyoenda mbali na maji ndivyo anavyozidi kua na hasira zisizokua na sababu.Sidhani kama hii ni kweli.