ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi ianze kwa wanaume kuona sio lazima hilo jambo na liwe la kawaida TU