Hii biashara kuuza mwili mpaka vijijini kweli maendeleo yanakuja kwa kasi

Hii biashara kuuza mwili mpaka vijijini kweli maendeleo yanakuja kwa kasi

Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi ianze kwa wanaume kuona sio lazima hilo jambo na liwe la kawaida TU
Kuna tofauti kati kuuza na kukodi hao wanakodisha miili wewe ukishamaliza hauna haki ya kuendelea kutumia wala kumiliki mpaka pale utapolipa hela tena ya kukodia😆
 
Hivi vitu hukutani navyo hivi hivi Kama sio mdau na huviwazi.
Kweli kabisa,
mshika dini akifika ugenini cha kwanza huulizia lilipo eneo la kuabudia,
Mlevi atatafuta wapi kikaji kipo,
Kadhalika mzinzi atapambana kuja chimbo zilipo.Kwo mtoa mada ni mdau!
 
Ni kweli Wanaume wakiacha kununua hii biashara haitakuwepo kabisa.
 
Eeh wanaume mkiacha… ningekuwa mwanaume ningesema tukiacha.
Ehee,asante.Huwa nafarijika sana nkimuona mwanamke yupo JF.Binafsi naamini ukiingia JF tyari umekombolewa!!
 
Hawa watu ni muhimu sana kwenye jamii wanatupunguzia gharama vijana, serikali ingewapa ruzuku wanapunguza kesi za ubakaji mtaani
 
Hasahasa sehemu ambayo wasukuma wapo
Nguvu za kiume ziko nyingi, utawalinganisha na wanaume wa dar ambao mlo wao Ni kile kimfuko kidogo kinachouzwa Mia 2 kimewekewa karanga Chache na vipande vya Nazi.Anakula na kulalia msosi huo 😄😄😄😄.Dar bana
 
Hiyo bizz ipo sana mkuu mwezi april nilikua vijiji flani vya kusini aisee kila jioni tukienda vilabu vyao vya pombe kunywa a.k.a UBANDA tulikua tunapata na huduma ya papuchi fresh kama tupo Dar vile
 
Back
Top Bottom