Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hakuna mwana CCM yoyote anayezungumzia juu ya mradi wa JNHP au SGR kwa uchungu. SGR, Moro Dar imebakia story. JNHP ilikuwa ikamilike June 2022 lakini sidhani kama itakamilika maaana mgao wa umeme ndio chanzo cha mafisadi wa CCM kupiga madili ya kifisadi.
Ikiibuka ishu kama kumg'oa Ndugai kwenye Spika au Kuondoa wamasai Ngorongoro utasikia yote yanaunga mkono hoja bila hata kupima maslahi ya taifa kwa mapana.
Yanajinasibu kuwa chama chao ni mali ya koo za akina Mzee Mwinyi, Malecela, Marehemu Moses Nnauye, Mzee Makamba na wengine kibao.
Kwa roho mbaya na dharau yao dhidi kwa wananchi bora hata mabeberu ba makabwela aliowapinga hayati JKN.