Hii Chadema imeshindikana ndo maana akina Heche wana jeuri

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.

FB_IMG_1780929756325.jpg
 
Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.

View attachment 3603711
Baada ya miaka mitano wakati wa uchaguzi wataruhusiwa hivi hivi ?

Naona dereva yuko kifungoni lakini gari inaendeshwa na abiria lakini huo mwendo wake bora hata wangemtoa dereva apunguze kasi na mwendo wa gari.
 
Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.

View attachment 3603711
Nasisi chama tawala tutajibu mapigo tutajaza semi trailer kumi zimejaa wananchi toka maeneo mbalimballi ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom