The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Baada ya miaka mitano wakati wa uchaguzi wataruhusiwa hivi hivi ?Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
View attachment 3603711
Wale wa deski la siasa kule kitengoni ni zero brain.Ukatili wa serikali ya CCM kwa Chadema na viongozi wao unaipaisha zaidi Chadema badala ya kuizamisha kama yalivyo matarajio ya viongozi dhalim wa CCM.
Tangu JPM aliopoishindwa 2020 haiwezekani tenaMkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
View attachment 3603711
🤣🤣Ngoja ni assume nipo na kiti wa ccm nampa nondo.
Unajua comrade hawa chadema bila kusomba watu hawawez kujaza uwanja.
Nasisi chama tawala tutajibu mapigo tutajaza semi trailer kumi zimejaa wananchi toka maeneo mbalimballi ya TanganyikaMkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
View attachment 3603711