Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.

Screenshot_2023-11-19-15-06-07-1.png
Screenshot_2023-11-19-14-55-07-1.png

Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.

View attachment 2818727View attachment 2818728

Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
Kwa wenzetu kitu kikubwa sana ishara kuwa wewe ni member wenye common interest.....war veterans hupewa hizo kama appreciation na memories.
Pia kama alumni etc....kwa Sugu ajue wanamtambua mchango wake kwenye democracy......ni wao huyo!!
 
Nadhani coin hiyo Ina maana kuwa,

Sugu anaruhusiwa kugombea uwakilishi wa Senate Jimbo lolote marekani na akapita bila kupingwa😀😀
 
Nadhani coin hiyo Ina maana kuwa,

Sugu anaruhusiwa kugombea uwakilishi wa Senate Jimbo lolote marekani na akapita bila kupingwa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa wenzetu kitu kikubwa sana ishara kuwa wewe ni member wenye common interest.....war veterans hupewa hizo kama appreciation na memories.
Pia kama alumni etc....kwa Sugu ajue wanamtambua mchango wake kwenye democracy......ni wao huyo!!
asante kwa ufafanuzi
 
Apewe na Lisu sasa ikiwa issue ni kupigania democracy,

Lisu alipigwa Risasi 17 akitetea democracy,

Sugu amepewa ya nn, au ni sababu pia anachana mistari!!😀😀
Ujumbe wako tutamfikishia balozi
 
Kumbe sugu ni mwekezaji bilionnere wa kimataifa🤔
 
Back
Top Bottom