Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

Sugu ni chawa wa mama tu hata usiwaze mkuu , mama anaupiga mwingi 2025 ndio atajua kuwa alitapeliwa kwa kuaminishwa anaupiga hadi unamwagika😢😢😢😢🤣🤣🤣🤣
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.

View attachment 2818727View attachment 2818728

Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
Wasiojulikana watamuandama mpaka kijulikane
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.

View attachment 2818727View attachment 2818728

Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
Tuwe wakweli na wawazi hii pesa wanaccm hawawezi kupewa kutokana na maovu waliyoyafanya tangu Uhuru.
 
Back
Top Bottom