Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa wenzetu kitu kikubwa sana ishara kuwa wewe ni member wenye common interest.....war veterans hupewa hizo kama appreciation na memories.Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.
View attachment 2818727View attachment 2818728
Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani coin hiyo Ina maana kuwa,
Sugu anaruhusiwa kugombea uwakilishi wa Senate Jimbo lolote marekani na akapita bila kupingwa[emoji3][emoji3]
asante kwa ufafanuziKwa wenzetu kitu kikubwa sana ishara kuwa wewe ni member wenye common interest.....war veterans hupewa hizo kama appreciation na memories.
Pia kama alumni etc....kwa Sugu ajue wanamtambua mchango wake kwenye democracy......ni wao huyo!!
USA hakuna ujinga wa kupita bila kupingwaNadhani coin hiyo Ina maana kuwa,
Sugu anaruhusiwa kugombea uwakilishi wa Senate Jimbo lolote marekani na akapita bila kupingwa😀😀
Apewe na Lisu sasa ikiwa issue ni kupigania democracy,USA hakuna ujinga wa kupita bila kupingwa
Ujumbe wako tutamfikishia baloziApewe na Lisu sasa ikiwa issue ni kupigania democracy,
Lisu alipigwa Risasi 17 akitetea democracy,
Sugu amepewa ya nn, au ni sababu pia anachana mistari!!😀😀
Kabisa yaaniHongera sana Sugu.
Uko nyuma sana !Kumbe sugu ni mwekezaji bilionnere wa kimataifa🤔