fitonenendefu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2022
- 428
- 881
Mambo ya intelligence hayo, agent wao kwenye political and activists'issues,ana kazi maalumu na za kimkakati na wao(CIA).Wenye akili wanaelewa kwa nini mabalozi wa US hawakauki mjengoni Desderia.
Sawa chawa wa suguUko nyuma sana !
Wasiojulikana watamuandama mpaka kijulikaneBalozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.
View attachment 2818727View attachment 2818728
Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
πππ asante kwa taarifaNasikia ni alama ya frimasoni π
Na hasa yule mbeba MajenezaKuna wanachama fulani wakiona hivyo wanataman hata wakaiibe hiyo Coin
hakuna kibopa chawaSawa chawa wa sugu
Tuwe wakweli na wawazi hii pesa wanaccm hawawezi kupewa kutokana na maovu waliyoyafanya tangu Uhuru.Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.
View attachment 2818727View attachment 2818728
Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?