Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

Ngoma kali sana
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-193656_Audiomack.jpg
    Screenshot_20221106-193656_Audiomack.jpg
    138.1 KB · Views: 19
Wakuu huwa namsikia huyu dg ila sijawahi mzingatia,naomba utaje nyimbo zake nyengine kama anazo
 
Remix na KondeBoy ameua sana.
Ngoma imezidi kuwa ya Moto.

Harmonize atamsogeza huyu Dogo. Watu wataanza kumzingatia sasa.
 
Utaskia kisa katajwa asake wa tandale [emoji1][emoji1] all in all ile og ni kal sababu Ina zile verse zote mbil za kontawa n za moto alafu uku kwenye rmx wametoa verse moja ila konde kaimba poa tu
Furaha yako sio genuine.
 
Kwahyo Kontawa>>>>Young killer>>>>>Young Lunya>>>>Rapcha?????
Hiyo ngoma n nzuri Ila kumlinganisha kontawa na Young killer n kutafuta dhambi ambayo hautasamehewa kamwe...
Killer Kama n marks ana 85% huyo kontawa na hizo takataka zingine ni 37%
 
Back
Top Bottom