Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

Inakuaje ngoma Kali alafu kamshirikisha ney wa mitego?
 
Hii ngoma Leo nimeisikiliza zaidi ya masaa matatu non stop. Katisha sana Kontawa
 
Kuna wimbo wa Mwana Fa aliutoa muda kidogo aliimba mstari flani hivi alilitaja ilo jina "Kikontawa" enzi hizo nilikuwa sijui anazungumzia nini.
 
Back
Top Bottom