Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Mwanaume anajua mpaka kuunga mchuzi wa nazi anawahi kuoa kutafuta nn

Unakuta kwake kuna kibao cha chapati,cha kukunia nazi na kinu hahaha hao hawaoagi
Hahaaaa... Kuna wanawake wengine hawataki kuolewa kwa wanaume wanaojua kupika. Eti watanyanyasika jikoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha mkuu figganigga ulivyoanza kujisifia kumbe ni chapati za maji aiseee...

Sasa pancake ama chapati za kumimina itakuaje si utataka uanzishiwe jukwaa lako kabisa hahaha


Anyway, naona chapati yako iko poa tu jitahidi kupunguza mafuta na usipike na moto mwingi.


Kwa chapati za kusukuma tafuta thread yangu humu nilifundishwa na my wife Evelyn Salt.

Halafu Jolie Jolie umeongea kama kweli vileee [HASHTAG]#thinking[/HASHTAG]
 
Ukimkuta mwanaume anajua yote hayo lakini hataki kuoa ujue hana mpango wa kupata watoto. Nayajua yote hayo lakini faida yake kwangu ni kuwa hata mke akiumwa naingia jikoni mwenyewe then hawezi kunigomea kwenye kupika, hawezi kunilaza njaa
Kweli kabisa mkuu, ila ukiwa unajua kupika mwanamke hatakutisha kwamba leo sipiki usipo fanya kitu fulani.
 
Hahaaaa... Kuna wanawake wengine hawataki kuolewa kwa wanaume wanaojua kupika. Eti watanyanyasika jikoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi namba moja,wala anaejua kufua nguo zikang'aa kama kafulia mashine[emoji23] wanakuaga na dharau
 
Hahaha naomba nizione chapati zako za kumimina
 
Ukweli mtupu
Na wanaringa sana
Mama yangu aliwahi kuniambia, "the kitchen is the most romantic place in the house. Usimuache mkeo akaenda jikoni peke yake..."

Na niliiona kwake na baba. I remember those Sundays after church walikuwa wanajifungia jikoni wenyewe sisi sebuleni tunasikia tu wakicheka. Nakumbuka kama vile jana.
 
Kweli kabisa mkuu, ila ukiwa unajua kupika mwanamke hatakutisha kwamba leo sipiki usipo fanya kitu fulani.
Ni sahihi ndio maana nikawa namuelekeza Jolie Jolie hapo, lakini ye kashikilia eti mwanaume akiwa anajua kupika anakuwa na gubu, eti mara oo maandazi hayakuumuka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] wana gubu sana
 
[emoji23] [emoji23] wana gubu sana
 
[emoji23] [emoji23] wana gubu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…