Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kumbe umejifunzia kupika humu? Basi unalipenda jiko pia. Plus hamna chapati rahisi kupika kama hizo za maji bwanaHahah mwanzo mgumu jamani...nikikuonesha chapati yangu ya kwanza kupika na baada ya kufundishwa na Evelyn Salt hutoamini...
unanifanya niache kazi nianze kutafuta picha sasa...