Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Na kingine napenda mwanaume anaejua kupika. Nikae ye anipikie siku moja moja.
[emoji13] kati ya watu ambao wanapata raha basi ni wanawake ambao wameolewa na wanaume wanaojua kupika, maana ukimzingua tu ye anaingia jikoni mwenyewe, sema wanawake wengi hilo hawalijui[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Sometimes ka video kanasaidia. Unakuta anakuambia kaanga vitunguu hadi viwe 'golden brown' sasa hapo golden brown labda kwenu wadada..mimi golden brown ni rangi nyingi mno.

Wakati mwingine recipe za kizungu zinasema;
- add a pinch of sugar
- add a dash of salt
- add a smidgen of cinnamon
- add a tad of cardamom

Hapo unaahirisha kupika, unapika zako ugali na tembele unalala.
Hahaha we ni mfatliaj wa mapish loh aise
 
Sometimes ka video kanasaidia. Unakuta anakuambia kaanga vitunguu hadi viwe 'golden brown' sasa hapo golden brown labda kwenu wadada..mimi golden brown ni rangi nyingi mno.

Wakati mwingine recipe za kizungu zinasema;
- add a pinch of sugar
- add a dash of salt
- add a smidgen of cinnamon
- add a tad of cardamom

Hapo unaahirisha kupika, unapika zako ugali na tembele unalala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hata huelewi ndo vimekua golden brown au vimeungua unajionea mauza uza tu.
 
[emoji13] kati ya watu ambao wanapata raha basi ni wanawake ambao wameolewa na wanaume wanaojua kupika, maana ukimzingua tu ye anaingia jikoni mwenyewe, sema wanawake wengi hilo hawalijui[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Mi bwana natamani niolewe na mwanaume anaejua kupika. Sababu nikikaa na mtu anajua kupika napenda anipikie.
 
Na kingine napenda mwanaume anaejua kupika. Nikae ye anipikie siku moja moja.

Mzigua90 Mzigua90 Mzigua90 raha zaidi ni muwe mnapika pamoja. Jiko la ndani, nyumbani mko wawili peke yenu...Ijumaa jioni mmewahi wote kutoka kazini au Jumamosi asubuhi mmeamka saa mbili hivi, ama Jumapili hivi mmetoka ibadani...mnaingia jikoni wewe na khanga tu (au mtandio) na bra pekee, yeye atupie vest na bukta..muanze kukarangiza..huyu anafanya hiki mwingine anafanya kile aisee....

Hata ikiwa katikati ya wiki..aisee jikoni ukiamua kupatumia vizuri utapapenda kuliko chumbani nakuhakikishia.
 
swali ni je? wangapi wanafanya hivyo ili kudumisha uhusiano
 
Mi bwana natamani niolewe na mwanaume anaejua kupika. Sababu nikikaa na mtu anajua kupika napenda anipikie.
Ningekua bado ningekuPM bahati mbaya/nzuri mdogo wako ameniwahi [emoji13] maana mi sioni tabu kumpikia mtu madhali usiku inakuwa zamu yake kushika mwiko[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom