Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Yaan kuna huyo mme wa shoga angu alikuaga mpishi mkuu kwenye mgahawa wa mamake zaman,jaman mwanaume yule hata chai anakosoa,kila chakula kinachopikwa anaona kibaya,afu ukosoaji wake ni wa kuzira chakula anaviiimba,mkew akimuuliza nini shida,eti hua ugali mbona umepika mlaini sana,mara mchuzi hauna ushirikiano,nyanya peke ake ,kitunguu peke ake[emoji23] [emoji23] Anataka abeeeeeembelezwe au akatafutiwe chips mtaan ndo ale,yan ana gubu sio la hii karne
 
Sema ukipata mwanaume asiejua kupika raha hata umpikie nini ye anajionea sawa tuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimaliza hapo unashushia na maji basi tena. Kweli staftahi kabambe hiyo sio chapati za mtoa uzi utasema kaziloeka kwenye mafuta [emoji23][emoji23]

Hahah mwanzo mgumu jamani...nikikuonesha chapati yangu ya kwanza kupika na baada ya kufundishwa na Evelyn Salt hutoamini...

unanifanya niache kazi nianze kutafuta picha sasa...
 
Sema ukipata mwanaume asiejua kupika raha hata umpikie nini ye anajionea sawa tuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Si kwasababu hajui kupika hata ukipika ovyo ye atakula na no comment, lakini mkitupata tunaojua, ukiniripulia jikoni nakwambia ukae pembeni nafanya yangu then we unabakia kuona haya tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom