THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Hakuna Jipya Chini ya Jua hii hali ya kila mtu kutia Nia ya Ubunge kwa Chama cha Kijani hata 2020 ilikua hivihiv yani ilikua kituko kila mtu aliutaka ubunge.
Hadi Kina steve Nyerere nao walitia Nia.
Kwa wenye Akili mtaunganisha doti hio ni michezo kile kipindi kila mtu alitia Nia kuaminisha umma kua Magufuli amefanya Makubwa Nchini so kila mtu anataka kugombea ili apate nafasi ya kwenda kusaidiana na rais kuendesha gurudumu
The same Mwaka huu inatumika hii agenda lengo likiwa nikutaka kuonyesha kwamba ety MAMA kilemba amefanya makubwa na kila mtu anatamani kufanya nae kazi akiwa Mbunge.
Shortly hio ni campaign inafanywa sio kwamba watu wanania kweli pale kuna pesa zimemwagwa..
Matokeo mtakuja kuyaona mtaambiwa mama yenu kashinda kw ASILIMIA 90+
Watanielewa wenye akili pekee.