britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Habari wanajamvi,
Nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi sisi kujua kwa sababu za kisiasa za kikundi fulani.🤔
Mama amesema tumepewa Concessional Loan ya miaka 20 na tunajua Tumekopa kujenga madarasa (Yaan hiii ndio ilikuwa amri ya mkopeshaji). Yaan umekopa to sustain free service deliverance na wamekupa miaka ishirini ya kuwalipa. Sisi tunaoelewa Conscession Loans ambazo ni either interest free/discounted, au la longer grace periods na zikiwa aimed kubeba sera fulani (Mfano hii lazima ujenge madarasa tu) zinakuwa na ubaya wake btw. Umejiuliza Kwa nini wasiruhusu tumalizie stigglers gorge? Au SGR? Au tu hata kuboresha Tanesco? Au hata kujenga hospitali?
Ni kwa sababu Sababu wana lengo la kuendelea kukufanya mtumwa. Wameshajua shule Tanzania ni bure wanataka ukajenge shule kwa kuwa hutaweza kulipa kupitia shule (Na kihasibu hili ni kosa, kukopa kwenda ku-invest kwenye non paying business ventures).
Wazungu wana akili sana. Sisi huku tunakaa kupiga makofi ya kusifu kuwa tumepewa miaka ishirini bila kujiuliza source of repayment of the facility na amortization factor yake na njia ipi ya concession tumepewa ili kulipa huo mkopo?
Hapa ni kuna uhasibu zaidi ila sio kila concession Loan ni ya kuichukua. Binafsi naona kwa sababu za kampeni(Kisiasa) wenye mamlaka wameamua kuchukua huu Mkopo na leo nasikia wazungu wametuongeza tena dola milioni 375 kwa mujibu mama.
Yaani tuna safari ya kuienda. Na ndefu Sana