Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo.
Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila siku mikosi, hela zinapotelea humohumo ndani. Leo ananipigia simu anasema mke wake kaenda kwa watumishi kaambiwa humo palikua panafugwa majini, na jamaa ameshanunua kwa mpunga mrefu tu.