sasa mbona umesema mwenyewe ni 'fikra duni'wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini.
sasa jina si halitauza itakua nyumba yenye majini au lodge ya majini?Izo unatakiwa uinunue uigeuze lodge au ya kupangisha....Wapangaji watapambana na hali yao.
Mawazo duni ya kimaskini ya ngozi nyeusi.Mwizi yumo humo humo ndani kama sii mume,muke,kama sio tayari mnafuga toto teja ndani ya familia yenu.Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo.
Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila siku mikosi, hela zinapotelea humohumo ndani. Leo ananipigia simu anasema mke wake kaenda kwa watumishi kaambiwa humo palikua panafugwa majini, na jamaa ameshanunua kwa mpunga mrefu tu.
nyumba za kichawi ni stori za kutunga.Huelewi nilichoandika
Hii ndyo solution, kweli ulimwenguni mna dhiki!Sio tu Nyumba kwa Mambo ya kiimani hivi vitu Vya mali i.e Nyumba, Ardhi,Shamba, Mifugo ukinunua kwa Mtu inabidi ubadili umiliki wake wa kisheria za kibinadamu na kiroho pia. Kama sio muamini wa mambo ya kiroho Ipite tu hii Post alone.
๐๐ SamalekoIzo unatakiwa uinunue uigeuze lodge au ya kupangisha....Wapangaji watapambana na hali yao.
Au K+M +B hasa WakatolikiPia wengi wanazindika sana hizo nyumba. Sio wakristo sio waislam.
Mara unakuta nyumba mbele imeandikwa 'mlango wa kiislam' sasa unajiuliza ya nini yote hayo.