Hii confidence ya kununua nyumba za watu na kuzifanya makazi mnapata wapi?

kuna namna ya Kuondoa hayo mazindiko na kuharibu hayo maagano. kwa waliokoka wanaweza kuwasiliana na wachungaji wao. Kwa wapagani kuna dawa za kunyunyizia unaondoa kila kitu humo.

soma uzi wangu wa visa vya udalali
 
Wakati wenzetu uchawi wao wakiurasimisha kwa jina la Sayansi leo tunachat JF sie tunahakikisha ukinunua nyumba hukai.
 
Sio tu Nyumba kwa Mambo ya kiimani hivi vitu Vya mali i.e Nyumba, Ardhi,Shamba, Mifugo ukinunua kwa Mtu inabidi ubadili umiliki wake wa kisheria za kibinadamu na kiroho pia. Kama sio muamini wa mambo ya kiroho Ipite tu hii Post alone.
Wokovu imefika nyumbani Leo. Samalekoo
 
Siku nyingi sana nimetoa tangazo kuwa mtu yeyote anayejua nyumba yenye majini, mizimu, vibwengo, mashetani au mauzauza yoyote aniambie iko wapi nikaishi hapo lakini sijapata. Haya mambo ni imani zako potofu tu. Mbona tunaishi kwenye nyumba za kupanga miaka na miaka?
 
Huyo mke na mtumishi wote ni viazi, afukize bange humo week tu mambo shwali.
 
Nimewahi msindikiza rafiki angu kufanya physical search ya nyumba kabla aja nunua ,si tuka kuta chumba kimoja kilikuwa kama kilinge wao wanadai ni kuna mganga alikua anakuja kumtibu mwenye nyumba so alikua ana tumia icho chumba aseee
 
Nimewahi msindikiza rafiki angu kufanya physical search ya nyumba kabla aja nunua ,si tuka kuta chumba kimoja kilikuwa kama kilinge wao wanadai ni kuna mganga alikua anakuja kumtibu mwenye nyumba so alikua ana tumia icho chumba aseee
Mshana Jr
 
Watanzania wengi zaidi wananunua magari used.
 
Nyumba kama hizo ukishanunua unafanyia biashara kama kupangisha sio unaenda ishi ww labda sehemu ambazo sio uswahili.
Vipi kuhusu magari ya mtumba/used?
 
ujinga ni hali ukimwelekeza mtu anaelewa ....Toa ujinga huo wakupumbaza watu mitandaoni haya mambo yapo sana tu ila omba sana yasikukute
hamna cha kukukuta wala nini,kwani sisi tusioamini uchawi, tunaishi mbinguni ambako hamna uchawi?...hatuangaiki na mazindiko ya nyumba wala mashamba ilihali majirani kutwa kukesha na wachungaji na waganga miaka nenda rudi, na hamna wanachoambulia.....acheni huo ujinga wa fikra duni🚮🚮
 
Ni aibu kwa hili taifa kuwa na watu wa ajabu kiasi hiki, kutwa wao ni uchawi, nuksi , mikosi,maagano, madhabahu, udi , ubani, damu sijui ya nani,..hamna research wala reasoning.....upuuzi mtupu..hadi maviongozi yao yaliPANGA FORENI kwa babu wa kikombe cha miujiza🚮🚮
 
Vipi kuhusu nguo za mitumba,mashuka, viatu, magari tena used ya Tanzania?
Mimi binafsi napendelea kununua nyumba kuliko kujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…