Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc.
Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu.
"IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF GOD WAS HOVERING OVER THE FACE OF THE WATER"
SWALI; Je, tunaweza kuweka kwenye hisia zetu na mawazo yetu kwamba maji ndio kitu pekee kwenye Dunia hii kilichokaa kwa muda mrefu, mpaka pale Roho ya Mungu ilipokuwa inatembea kwenye vilindi vya maji na kuanza process ya uumbaji kwa siku saba ?
Argument yangu ni kwamba, kama wanasayansi wanasema dunia ina umri wa miaka Bilions 4.5, Je wanaweza kwenda deep sea au kwenye virgin destination ya bahati ambapo hapajawahi kuguswa na kuchukua sample za maji na kuzipima umri wake ?
Hii biblia alinipa Bibi yangu na yeye anasema alipewa miaka ya 80's and Early 90"s
wajuzi wa mambo, Karibuni tupeane madini juu ya mwanzo wa ulimwengu kwa namna ulivyoandikwa kwenye maandiko matakatifu.