Hii couple inajielewa sana

Yule bwana ukimuangalia unaweza kusema bonge la mstaarabu
kama wangelikuwa wakweli wasingelifikia hatua ya kuachana bila ya kupeana taarifa.
inasemekana bwana yule amefikia hatua ya kumtishia bibi yule akiwa muongo atamwaga mboga ya muhogo
 
Ndio maana mimi siku zote sipendagi wanaume wadogo kuliko mimi, bibie alikosea sana kuhadaika na mahaba ya mbele ya camera alitakiwa atafute wahenga wenzie
teh teh
bwana yule ni mtemi kuliko mwanamume wa mkoani, haikuwa busara kukimbilia kwenye spika za muziki (media)
 
Ndio maana mimi siku zote sipendagi wanaume wadogo kuliko mimi, bibie alikosea sana kuhadaika na mahaba ya mbele ya camera alitakiwa atafute wahenga wenzie
hao wahenga wenziwe walishamtumia wakamtelekeza
 
Mchaga na muarachuga
 
Aisee kwa hiyo alidhani mfupa uliowashinda wahenga kijana atauweza, ila wamenisikitisha sana aisee
akiangalia umri unasogea na yeye anatamani kuingia kwenye ulimwengu wa bibi na bwana kolomijee.
mwaka mmoja tu wa kufahamiana kwao zaidi wanatangaza ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…