Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana!
Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena.
Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za paa mchezo kwisha.
Ukifanikiwa njoo hapa utoe ushuhuda. Haita ku gharimu hata 5000.
Ibada njema