Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
Uko sahihi ukitaka Sumu direct inaua tofauti na kuua hiyo siyo Sumu Kwa UELEWA wangu.Nadhani dawa siyo lazima iwe matibabu. Kwenye lugha ya kiswahili, dawa inaamanisha pia suluhisho la jambo linalotatiza. Kwa mfano unaweza kusema ''dawa ya ndege wanaokula mpunga ni kufunga king'ora''