Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nini hatima ya hao popo,Kuama au kufa?.Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana!!
Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena.
Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za paa mchezo kwisha.
Ukifanikiwa njoo hapa utoe ushuhuda. Haita ku gharimu hata 5000.
Ibada njema
Ukitaka wafe changanya na Sumu ya ninja ama kung Fu but baada ya miaka hata4 wanarudi tu japo Kwa uchacheNini hatima ya hao popo,Kuama au kufa?.
Ukiweka ugoro na Grease hawafi wanasepaWakifa nyumba nzima ni kunuka uvundo
Kwetu sisi wakulima ni ufugaji mzuri sana Kwa mbolea yaoKuna nyumba moja ya zamani ilikua ni maskani ya popo jioni popo zaidi ya elf 10 wanatoka na alfajiri wanarudi
Halafu wapo kiu Koo😂😂😂Popo jau sana, kuna majengo ikifika mida ya jioni jioni wakianza kutoka utaweza kukaa na kuanza kushangaa popo walivyowengi.
Ulitumia teknolojia gani kuwahesabu Mkuu?Kuna nyumba moja ya zamani ilikua ni maskani ya popo jioni popo zaidi ya elf 10 wanatoka na alfajiri wanarudi
Ujenzi mbovu ndiyo unafanya nyumba iwe makazi ya popo. Nadhani inachangiwa zaidi na hali ya uchumi kuwa dhaifu.Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana!!
Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena.
Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za paa mchezo kwisha.
Ukifanikiwa njoo hapa utoe ushuhuda. Haita ku gharimu hata 5000.
Ibada njema
Uko sahihi lkn ikitokea fanya hivoUjenzi mbovu ndiyo unafanya nyumba iwe makazi ya popo. Nadhani inachangiwa zaidi na hali ya uchumi kuwa dhaifu.
Wanahama nimeitumia sana nilipokuwa geitaNini hatima ya hao popo,Kuama au kufa?.
Sumu inaua mkuu.Heading isomeke Sumu na sio Dawa
Dawa ni ya matibabu ili kupambana na magonjwa au kutibu.
Mkuu,chanzo cha hao Popo kufanya makazi yao ni kipi?Wanahama nimeitumia sana nilipokuwa geita
Hesabu za makadirio tuUlitumia teknolojia gani kuwahesabu Mkuu?
Nadhani dawa siyo lazima iwe matibabu. Kwenye lugha ya kiswahili, dawa inaamanisha pia suluhisho la jambo linalotatiza. Kwa mfano unaweza kusema ''dawa ya ndege wanaokula mpunga ni kufunga king'ora''Heading isomeke Sumu na sio Dawa
Dawa ni ya matibabu ili kupambana na magonjwa au kutibu.
Mi niliwakuta na sijajua chanzo ni kipi ila najua dawa aliyosema ilisaidia sana na hii ni baada ya Kutumia dawa hizi za kitaalam zikashindwaMkuu,chanzo cha hao Popo kufanya makazi yao ni kipi?
Kipi kinawavutia mpaka kupelekea wao kufanya makazi hapo?
Nafikiri watu wakijua chanzo cha tatizo itasaidia sana.
Ninachojua Mimi ni ujenzi tu ukipata fundi mzuri popo hatakaa aingieMkuu,chanzo cha hao Popo kufanya makazi yao ni kipi?
Kipi kinawavutia mpaka kupelekea wao kufanya makazi hapo?
Nafikiri watu wakijua chanzo cha tatizo itasaidia sana.