Hii Dawa kweli ni kiboko ya popo!

Nadhani dawa siyo lazima iwe matibabu. Kwenye lugha ya kiswahili, dawa inaamanisha pia suluhisho la jambo linalotatiza. Kwa mfano unaweza kusema ''dawa ya ndege wanaokula mpunga ni kufunga king'ora''
Uko sahihi ukitaka Sumu direct inaua tofauti na kuua hiyo siyo Sumu Kwa UELEWA wangu.
 
Panda juu ya roof funga taa kule ndani wataondoka wenyewe, nyumba za kisasa za sasahivi popo siyo rahisi kuingia maana hauweki vent unaweka madirisha makubwa alafu nje pembeni ya bati piga PVC hawaingii
 
Ahsantee sana Kwa nyongeza malidhawaπŸ™πŸ™
 
Nipake nyumba yangu ya kisasa ugoro na grisi kweli?!
 
Una tatizo la afya ya akili nakushaur nenda kapate matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…