mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Oct 7, 2024 #41 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Nilikuwa kigogo fresh nyumba ya jirani ilikuwa na popo Click to expand... Kwa huko sawa.maana uswazi
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Nilikuwa kigogo fresh nyumba ya jirani ilikuwa na popo Click to expand... Kwa huko sawa.maana uswazi
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Oct 7, 2024 #42 mjingamimi said: Kwa huko sawa.maana uswazi Click to expand... Popo wamejaa kibao hapo City Centre kwenye majengo mengi ya NHC, mpaka yale majengo chakavu pale Ikulu ya magogoni yanayopakana na ferry.
mjingamimi said: Kwa huko sawa.maana uswazi Click to expand... Popo wamejaa kibao hapo City Centre kwenye majengo mengi ya NHC, mpaka yale majengo chakavu pale Ikulu ya magogoni yanayopakana na ferry.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Oct 7, 2024 Thread starter #43 mjingamimi said: Kwa huko sawa.maana uswazi Click to expand... Kwahiyo huko sio dar?
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Oct 8, 2024 #44 Popo huwa wanabeba virusi wengi sana ambao ni hatari kiafya endapo kwa namna yoyote kutatokea contamination na mwanadamu. Ni hatari sana kukaa mazingira ya pamoja na popo na wanyama wengine jamii ya panya.
Popo huwa wanabeba virusi wengi sana ambao ni hatari kiafya endapo kwa namna yoyote kutatokea contamination na mwanadamu. Ni hatari sana kukaa mazingira ya pamoja na popo na wanyama wengine jamii ya panya.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Oct 8, 2024 #45 wanyama hatari sana kwenye makazi ya watu