Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa
Shukrani sana. Kwa hapa Tanzania nazipata wapi, maana nimetafuta sana.Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa
Mi ni wakili tu🙂. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.Shetani anaumwa wewe nenda pharmacy kubwa kubwa
Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyoMi ni wakili tu🙂. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.
cheki hizo zingine nilizokuandikiaMi ni wakili tu🙂. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.
Nayo ina Bismuth Subsalyclate?Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyo
Kuna za mwanzo alitumia, sasa ndiyo wamemuandikia hizi.cheki hizo zingine nilizokuandikia
Mi sio daktari nielezee nikueleweNayo ina Bismuth Subsalyclate?
Hiyo pepto Bismol ndani yake ina bismuth subsalyclate. Kwa hiyo dawa yoyot yenye hiyo bismuth sub...itafaaMi sio daktari nielezee nikuelewe