Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa
Shukrani sana. Kwa hapa Tanzania nazipata wapi, maana nimetafuta sana.Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa
Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.Shetani anaumwa wewe nenda pharmacy kubwa kubwa
Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyoMi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.
cheki hizo zingine nilizokuandikiaMi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.
Nayo ina Bismuth Subsalyclate?Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyo
Kuna za mwanzo alitumia, sasa ndiyo wamemuandikia hizi.cheki hizo zingine nilizokuandikia
Mi sio daktari nielezee nikueleweNayo ina Bismuth Subsalyclate?
Hiyo pepto Bismol ndani yake ina bismuth subsalyclate. Kwa hiyo dawa yoyot yenye hiyo bismuth sub...itafaaMi sio daktari nielezee nikuelewe