Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye baridi hatari na nusu mbeyaKwani uko Mkoa gani mamy?
😳kwahiyo badala ya Mimi kufanya kaz ya kukufulia nguo,unataka ufue zangu.Kweli kaz sipati kwako aisee, 🤣🙌 nimeprove kibarua Sina kwakoHuko kwenye Baridi ndio kuzuri [emoji849] sijui nije huko huko [emoji848]
Nimeamua tu kuzileta uzifulie tu huko huko, siunajua huku Maji ya chumvi tena yanaharibu nguo[emoji849][emoji15]kwahiyo badala ya Mimi kufanya kaz ya kukufulia nguo,unataka ufue zangu.Kweli kaz sipati kwako aisee, [emoji1787][emoji119] nimeprove kibarua Sina kwako
🤔🙄Nimeamua tu kuzileta uzifulie tu huko huko, siunajua huku Maji ya chumvi tena yanaharibu nguo[emoji849]
Umekosea saaana Mkuu, Ungechukua hiyo 500 ake ukajumlisha na hiyo 50 ako ukazitupia kwa dustbin, Wallah ungegeuza mgongo angezifuata.Asee kuna watu wanajeuri na madharau katika hii Dunia sijawahi ona, Leo ilikuwa ni safari ya kurudi home baada ya kukamilisha kilichonileta huku, nimetoka sehemu niliyofikia (Donholm) fresh sihisi njaa nimepanga nifike Border ndio nipige msosi wa Nguvu (Supu chapoo ya kibongo) Supu za huku sizielewi Sasa sijafika hata mbali njaa ikaanza kuita saa hio Niko Mlolongo nikaona kutoka Mlolongo Hadi border ni parefu sana sitaweza vumilia njaa, nikasogea sogea hadi Athi River nimepitia tu Roundabout ya Athi river mbele kidogo nikaona Hotel nikachoma ndani
Nikapiga hesabu pale kabla ya ku order nikaona nipige tu msosi kabisa niachane na Chai, nikaitisha Ugali Matumbo na Greens, nikaletewa bill ni Ksh 350/= Nikatoa Soo 4 nikampatia yule muhudumu akaenda kwa Cashier akaniletea balance yangu Ksh 50 mm sijaipokea nikamuambia utakunywa soda hiyo, yule mhudumu kwani alinijibu nilimuona tu karudi kwa Cashier tena, alivyorudi kwangu sasa
Akanambia "I have nothing to do with 50 bob, I can see ww ndio unafaa kukunywa soda na si mimi" kumbuka Ile shilingi 50 niliyompatia aliicha pale kwenye meza akatoa mia tano (Ksh 500) "utakunywa soda na food imejisort kwa hiyo pesa balance utatumia kupanda matatu urudi mahali umetoka" halafu akasepa, Asee nilibaki nimeduwaa
Yani Pesa yangu mwenyewe hata kama ni ndogo ndio inanifedhehesha kiasi hiki? kusema ukweli na Mimi sijajivunga nikabeba Ile mia tano, ila na mm nilitaka kumuoneshea dharau yule mkikuyu sijui ni mkikuyu yule, ikabidi tu niwe mpole kwasababu nipo Nchi ya watu ila ingekuwa Bongo haki ya nani nisingekuwa mpole hivyo
Uzuri hajajua kama mm ni Mbongo maana angejua pengine ningehisi kubaguliwa, kwasababu Wakati natoka pale hotelini nikamsikia anamuongelesha mwenzake "Hawa watu wa Mombasa 'Chuani' kwao wanaona ni kama Thao" asee Dada aliniamulia yule sijui alitumwa, sijawahi kukutana na dharau kama hii maisha mwangu
Tafuteni Pesa wadau tena sio Pesa tu, Tafuta Utajiri kwa namna yoyote ile ili ukitoa tip utoe inayoeleweka, Mimi hiyo dharau imenipata katika pilikapilika za kutafuta Utajiri so imeniongezea kasi/speed zaidi, Kasi ilikuwa inasoma 3G baada ya hilo tukio imepanda hadi 4GView attachment 2272915
Huwenda ushavuta mwanang maana Avatar inaongea Kila kitu, Sasa wewe ukitupa pesa kwa Dustbin na mimi nikigawa kwa watu ambao wewe unaita malaya nani hapo anakuwa hajaiheshimu pesa?Umekosea saaana Mkuu, Ungechukua hiyo 500 ake ukajumlisha na hiyo 50 ako ukazitupia kwa dustbin, Wallah ungegeuza mgongo angezifuata.
Afu heshim pesa ng'ombe hii pesa itakulaani kuigawagawa kwa Malaya. I guess Wenda usifanimiwe tena.
Bora itupwe itaokotwa na mhitaj na atakushukuru ila siyo kumpa Malaya,Huwenda ushavuta mwanang maana Avatar inaongea Kila kitu, Sasa wewe ukitupa pesa kwa Dustbin na mimi nikigawa kwa watu ambao wewe unaita malaya nani hapo anakuwa hajaiheshimu pesa?
Mombassa, Lamu na sehemu zote za pwani upande wa Kenya kuna watoto wakali sana. Ila sasa ukija upande wa Mainland ndio utakutana na hao wenye sura za mizimu yao.Kenya pisi kali zakutafuta na tochi