mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi
Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi nk.
Ni mahakama ya shetani tu inaweza kuhukumu kuwa jambo kama hilo ni halali. Ila Marekani kuna siku jambo hili litawageuka, maana ukipanda lazima uvune.
Ukipanda udhalimu unavuna udhalimu na si vinginevyo!