Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 492
- 925
- Thread starter
-
- #121
Sahihi kabisa mkuuMitandao ya kijamii ni fursa mkuu, sio kila anayetumia facebook anaenda kujipost kule na caption juu "Ndo natoka chooni hapa". Wengine wanautumia kibiashara.
Siwezi mkuu sijafikia roho hyoMhh vijana wa Dar mna mambo.....kilichobaki tu hapa we nenda kamtimizie matakwa yake
Hahah daah sio powJaribu tu utakuja kuzoea, ila ukiona vipi anza kubwia unga ama kuvuta bangi kwanza
Acha zako mkuuNimekupata..Ina maana MTU analeta hoja kujitafutia soko akijificha kwenye kivuli cha kutongozwa na shoga
Aucio Sema umezinguaUsikute Ndo tabia zako si tutajuaje!!?
Anatoa Bure huyoHuo ndo ukweli, hilo shoga linatafuta wateja.
mkuu acha dharau instructions SI imejitosheleza apoShabashhhh! ...mbona kama mleta mada koroboi imemeza utambi...
Namaanisha mleta mada ndo shoga anatafuta wateja.Anatoa Bure huyo
Acha ungese mkuu mbona nimeweka vitu open hapoNamaanisha mleta mada ndo shoga anatafuta wateja.
Usenge gani tena wakati tumekuelewa?Acha ungese mkuu mbona nimeweka vitu open hapo
Nyie ndio mlikuwa mnakurupuka kwenye mtihan na kwenda opp . instructions zipo ila hamtak kuzisomaUsenge gani tena wakati tumekuelewa?
Sasa hizo changamoto zako za ulimwengu si ungezimalizia huko huko facebook! Kulikuwa kuna ulazima gani wa kuja kutusimulia jamii forums?Yaan nimelete changamoto za ulimwengu mkuu unaanza kunikejeli daah
Kuwa na amani kiongozi hakuna shidaSasa hizo changamoto zako za ulimwengu si ungezimalizia huko huko facebook! Kulikuwa kuna ulazima gani wa kuja kutusimulia jamii forums?
Hakuna sexual energy Kati shoga/gay na straight kwenye Chats za namna uliyotuletea...Hizo chats mpaka kufikia hapo ni za mashoga wawili...Nyie ndio mlikuwa mnakurupuka kwenye mtihan na kwenda opp . instructions zipo ila hamtak kuzisoma
Nashukuru mzee kama una mkeo nipe namba zake anijaribuHakuna sexual energy Kati shoga/gay na straight kwenye Chats za namna uliyotuletea...Hizo chats mpaka kufikia hapo ni za mashoga wawili...
Hivyo wewe ni shoga...Watu wanaongea kwa mafumbo unajifanya huelewi..
Poleni😂😂😂mashoga jau sana kiongozi
Ahsante mkuuPoleni
Sawa, basi utakuwa hutoki DarSiwezi mkuu sijafikia roho hyo