Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
eti tone tone....jamaa wachadema wasione hii wallahKwahiyo hapa ulikua unahitaji msaada gani mkuu, uchangiwe tone tone ya lodge au?
eti tone tone....jamaa wachadema wasione hii wallahKwahiyo hapa ulikua unahitaji msaada gani mkuu, uchangiwe tone tone ya lodge au?
Mkiokoa ndio mnakua wakali hivi 😂😂😂. Anyway Mimi niliona kama ameboresha tu tangazo lake..naona ubunifu kidogo umego school kwa nguvu ya tano.🤣Kwenda huko
hapa unafikiri umesaidia nini zaidi ya kuutangaza ushoga na mashoga myenzie yatamfata huko
Uwe unafkiria kabla huja post kitu humu kutakuwa na athari zipi au ni wewe mwenyewe maana siku hzi😪😪😪
😂😂😂 Amekuja kimkakatiMkiokoa ndio mnakua wakali hivi 😂😂😂. Anyway Mimi niliona kama ameboresha tu tangazo lake..naona ubunifu kidogo umego school kwa nguvu ya tano.🤣
Huu mtego kama sio mtoto wa kimjini jini huwezi elewa, uzuri na ubaya haya mambo hayana mrejesho mtu anaugulia kwake kimya kimya
Siwezi shawishiwa na vitu hvoHuu mtego kama sio mtoto wa kimjini jini huwezi elewa, uzuri na ubaya haya mambo hayana mrejesho mtu anaugulia kwake kimya kimya
Kwenda huko
hapa unafikiri umesaidia nini zaidi ya kuutangaza ushoga na mashoga myenzie yatamfata huko
Uwe unafkiria kabla huja post kitu humu kutakuwa na athari zipi au ni wewe mwenyewe maana siku
Kila Leo ni kubunu mbwinu tu.😂😂😂 Amekuja kimkakati
Daah kwahyo sister yaan hata maelezo yangu hujayaelewa unaanza kunidharauMkiokoa ndio mnakua wakali hivi 😂😂😂. Anyway Mimi niliona kama ameboresha tu tangazo lake..naona ubunifu kidogo umego school kwa nguvu ya tano.🤣
😂😂😂 Amekuja kimkakati
Jafari kama jafariAu sio
Bro sisemi kwamba sijakuelewa lakini sio kwamba nimekuelewa. Ila siku hizi mmekua werevu sanaa.(Binadam) 🤗🤗Daah kwahyo sister yaan hata maelezo yangu hujayaelewa unaanza kunidharau
Mimi nilishaifutaga facebook, mwaka huu mwanzon nikarud kuna inshu ilinifanya nikarudi, aza zile request huaga mimi siangaliagu na accept tuu. Kumbe na accept hadi mashoga, hadi hv sasa washanifuata messenger kama watatu, wanajitongozesha mmoja nikampa nasaha kuwa abadilike anaaibisha wazazi wake na familia yake. Ila alichonijibu eti hawezi kubadilika maana hana hisia na wanawake. Nikaamua kulilima block na kuli unfollow, na ikawa ndo mwendo kwa wote waliofuata.Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara ooh unakaa wap nikamwambia ndo akaanza kunielekeza kwamba anataka kupelekewa moto daah sio poa wangu Tuombeeni hiki kizazi
Aya bhn sina neno apaJafari kama jafari
Bro sisemi kwamba sijakuelewa lakini sio kwamba nimekuelewa. Ila siku hizi mmekua werevu sanaa.(Binadam)n
Nikweli binadamu hawaelewek sikuiz Mungu atusaidie Mimi nimechukia sana hilo shoga kunichek Leo coz nilikuw nadhanig masiharaBro sisemi kwamba sijakuelewa lakini sio kwamba nimekuelewa. Ila siku hizi mmekua werevu sanaa.(Binadam) 🤗🤗
Kweli kaka yaan Ile friend request inabid tuwe nazo makini sana mengne tu kama hayo mapunga unajua dume kumbe kipa katokaMimi nilishaifutaga facebook, mwaka huu mwanzon nikarud kuna inshu ilinifanya nikarudi, aza zile request huaga mimi siangaliagu na accept tuu. Kumbe na accept hadi mashoga, hadi hv sasa washanifuata messenger kama watatu, wanajitongozesha mmoja nikampa nasaha kuwa abadilike anaaibisha wazazi wake na familia yake. Ila alichonijibu eti hawezi kubadilika maana hana hisia na wanawake. Nikaamua kulilima block na kuli unfollow, na ikawa ndo mwendo kwa wote waliofuata.
Yaan ni mtihani Wallah
Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara ooh unakaa wap nikamwambia ndo akaanza kunielekeza kwamba anataka kupelekewa moto daah sio poa wangu Tuombeeni hiki kizazi
Eeh kiongozi low class kama sisi hatuiachi FacebookKumbe kuna wana jf wanatumia facebook 🙆🏻♂️
Kwani Facebook ina tatizo gani? Watumiaji wake ndo hao hao wa mitandao mingineKumbe kuna wana jf wanatumia facebook 🙆🏻♂️
Anazingua huyoKwani Facebook ina tatizo gani? Watumiaji wake ndo hao hao wa mitandao mingine