Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara ooh unakaa wap nikamwambia ndo akaanza kunielekeza kwamba anataka kupelekewa moto daah sio poa wangu Tuombeeni hiki kizazi
Mi sijaelewa lengo la kuleta huu Uzi aise.
 
Nasisitiza deni la mama ni trilioni 207 ..na mleta mada wewe ni mmoja wa WATANZANIA watakaolilipa kwa jasho na damu
 
Huu mtego kama sio mtoto wa kimjini jini huwezi elewa, uzuri na ubaya haya mambo hayana mrejesho mtu anaugulia kwake kimya kimya
 
Kwenda huko
hapa unafikiri umesaidia nini zaidi ya kuutangaza ushoga na mashoga myenzie yatamfata huko

Uwe unafkiria kabla huja post kitu humu kutakuwa na athari zipi au ni wewe mwenyewe maana siku hzi😪😪😪
 
Screenshot_2025-06-14-07-08-48-156_com.android.chrome~2.jpg
 
Kuna namna unashabihiana na mashoga ndio maana kakutafuta kajua mdau
 
Back
Top Bottom