Nope sio kweli hawa mapuga wanakufata tu hata ukiwa ukoje.... Kuna jamaa nilkua nae group la afya telegram... Akapata DM kutoka kwa mgonjwa anadai ana michirizi inamsumbua hivyo amshauri dawa gani nzuri ya kuondoa, yule mgonjwa akamshawishi dokta amtumie pics dokta (jamaa sasa) jamaa akakataa akamwambia tulia michirizi si naijua bana alafu na dawa nishakuelekeza, mara hajakaa sawa yule mgonjwa akatuma pics kumbe ni dume bana alafu lina michirizi kweli kwenye mapaja na makalio yake (lilikua shoga na sio mgonjwa) mara pics zingine za mduku na makalio duuh msela (dokta) ikabidi ablock account ya hilo puga alafu akaja kutu alert kwa group ya kua kuna watu wanafata watalaamu wa afya Inbox [emoji392] wakijifanya ni wagonjwa tena kwa chats za kike kike wanaomba ushauri wa dawa kwa ugonjwa flani na kudeka sana au wanaomba ushauri tu wa ki afya in general ila kumbe ni mashoga..