Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 492
- 925
Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara ooh unakaa wap nikamwambia ndo akaanza kunielekeza kwamba anataka kupelekewa moto daah sio poa wangu Tuombeeni hiki kizazi