Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

Hii Dunia inapoelekea sio shoga kanicheki Facebook messenger anataka kuniblesss

Kuna vielement flan flan aliviona kwako.,,,,, sio bure
Hakuna vielement vyovyote mkuu yaan huyo shoga nilikuw nasikia tu taarifa zake ila sijawahi onana nae face to face alaf hyo michezo kaanza kitambo sana
 
Wakuu inakuaje apo
Back to the topic,mida hii ya mchana Niko zangu ofisin,nimetulia baada ya ubize wa asubuh kupanga panga vitu .ikabidi nitulie sasa ..nikaingia zangu fb huko ,ghafla bin vuu nakuta sms messenger..naangalia profile jina la kiume ila mtu kaanza.na mambo daah ikabidi nimjibu mara ooh unakaa wap nikamwambia ndo akaanza kunielekeza kwamba anataka kupelekewa moto daah sio poa wangu Tuombeeni hiki kizazi
lipia tangazo
 
Back
Top Bottom