Hii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri.
Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.
Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia?
Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi aliingia kijana mmoja anaitwa Chiluba, Rais ambaye inasemekana ndie Rais alikuwa kampokea Yesu. Rais yule akapokea nchi kutoka kwa baba wa taifa hilo kwa mbwembwe na kuanza kumnyanyasa yule Mzee mpaka kumtia ndani na Keneth akakubaliana na yote ila hayati baba wa Taifa alipopata ile habari alipanda ndege na kwenda Zambia nakumwambia Chiluba amtoe haraka sana while huku Tanzania via Benjamin akaweka mpango kutomshitaki Rais aliyekwisha toka madarakani.
Well, Chiluba kwa shingo upande akamtoa ndani japo Chiluba baada ya muda wake hakudumu sana akafariki nakumuacha Mzee Kaunda, akaja Mwanawasa same akipigana na vita naye akaanguka madarakani.
Jambo hili wengi likawashitua na kujiuliza why marais hawadumu basi ndipo wakamkumbuka muanzilishi wa Taifa na kumuenzi hali ikatulia.
Dunia ina siri sana ndugu yangu kaza Roho. Kule Venezuela akaibuka Rais wao ambaye alipokuwa akihutubia UN baada ya Bush kutoka hutubia aliyefuata alikuwa yeye..
Jambo la ajabu alilolifanya Hugo Shavez ni kuanza na maneno haya:
"Nasikia harufu ya mbwa maana dakika chache alikuwepo hapa" Siku chache baada ya maneno yale Hugo chaves hakuishi muda mrefu alipatwa na Cancer kali na mpaka anakufa alikuwa akisema USA ndio walio muua japo hakuna proof ya kifo chake. Ila moja ya maneno wanayapenda sana vikosi kazi vya USA ni "We do bad things to bad people"
Dunia ina siri sana.
Kim Jong-un, Rais katili na mwenye kulindwa hatari huenda akawekwa katika kumbukumbu za makaburi na wazaz wake. Amewatisha USA mpaka wakawa hawalali. Watu wenye akili wakasema isiwe shida na sasa wamefanikiwa kumtuliza kama walivyokusudia. Kim Jong-un amefanyiwa op ambayo haikuwenda vizuri hivyo huwenda asirudi tena au akirudi asiwe na uwezo tena alio nao sasa.
Kifo Cha Rais wa Burundi kilicho sababishwa na mshituko wa moyo ni moja ya vifo tata kutokea duniani na hii I thibitisha maneno niliwaambia dunia ina mambo yakutisha sana I kwa wenye akili embu tujiulize nini hasa kimetokea burundi. Marehem Nkurunzinza alie tawala taifa la burundi kwa miaka mingi baada ya kubadili katiba alitaka kujitengenezea aina ya serikali uwenda haijawahi tokea ni kama mfumo wa serikal ya kifalme ila wao walikuwa wanakuwa na Rais while nje Mzee angekuwa akitoa maelekezo jambo na dhani ndani ya serikal walikubal ila wakiwa na siri zaidi ya siri kama ile iliwahi tokea kule Rumi.
kifo chake nikama picha yakushangaza sana, kwanza mama kulazwa akisemekana ana covid19 na baadae kuwepo tetesi mzee naye kalazwa ila cha ajabu siku ya tukio alitokea kwenye michezo akiwa mzima wa afya na masaa machache ikasemekana amefariki kwa shinikizo la dam. Huku na huku spika akataka kushika kiti ila mahakama ya kikatiba huko burundi ikasema hapana alie shinda apewe kiti. Na huwo ndio mwisho wa enzi ya Nkurunzinza. Nani anajuwa nini itabaki kuwa top secret ikipukutisha vimbelembele wote watakao hoji zaidi pitia kifo hiki.
Hii ni dunia yenye siri kali nakuogopesha sana.