Ukikiuka masharti ya kuishi duniani ni lzm ushughulikiwe na laws of nature karma amevuna alichopandaTrue dunia ni hatari sana.
Ukikiuka masharti ya kuishi duniani ni lzm ushughulikiwe na laws of nature karma amevuna alichopandaTrue dunia ni hatari sana.
Aaah wapi atuhitaji wasio na faida duniani
Mkuu I am so sorry,sikujua Kama nimepinga maana mie nikiona Kama wote wameandika kitu kimoja Ila toufauti ilikuwa ni lugha tu iliyotumika.Sasa ili kujilidhisha nikataka kujua 'masaa machache huwa ni masaa mangapi na siku chache huwa ni siku ngapi'' yaani hivyo tuKama hujijui acha ubishi. Castr amekupa facts checking na wewe uje na facts zako siyo maswali ya kupinga fact.
Kufa takufa bila damu za watuUpo desperate sana, utakufa Wewe utawaacha unaowachukia
Nimeipenda hii kitu inaitwa 'fact checking'.Fact checking.
Bush alihutubia 19 September 2006. Chavez alihutubia 20 September 2006.
Uzi unasema saa chache.
Chavez alisema "Nahisi harufu ya shetani, alikuepo hapa jana na mpaka leo pananuka salfa"
Uzi unasema Chavez alimwita Bush mbwa.
Chavez kuumwa kwake kulikuja kujulikana na dunia 2011.
Uzi unasema siku chache.
Sasa kama taarifa public kama hii imepindishwa hizo nyingine za Kim itakuaje?
Yaani ikishavuka siku tu, huwezi kusema masaa machache unasema siku ya pili, au ya tatu, ...., siku ya (n).Mkuu I am so sorry,sikujua Kama nimepinga maana mie nikiona Kama wote wameandika kitu kimoja Ila toufauti ilikuwa ni lugha tu iliyotumika.Sasa ili kujilidhisha nikataka kujua 'masaa machache huwa ni masaa mangapi na siku chache huwa ni siku ngapi'' yaani hivyo tu
Kufa takufa bila damu za watu
Sasa kujimwambafy kuteka,kuuwa, kusomeshwa watu namba,kubambika vyote vya nn Kama avikingi kifoUtakufa tu ,hiyo Ndio fomula hata ulie ulie hapa utakufa tu
Technology ilikuwa bado tofauti na Sasa uchelewi wakikutaka tuFidel Castro walianza kumuwekea sumu kwenye cigars mwaka 1960 na USA waliendelea na majaribio 638 na yote yakafeli
Kama mda wako haujafika wa kufa utadunda tu
America kwa Castro walishindwa mbinu zote
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sasa kujimwambafy kuteka,kuuwa, kusomeshwa watu namba,kubambika vyote vya nn Kama avikingi kifo
Huelewi hata kinachoendelea.Ile meeting na Trump haikuwa just meeting,yeye anatumia nguvu wenzake wanatumia akili,si atume Sasa zile kombora zikalipue kifo asife.Miaka 5 iliyopita nilisoma article kwamba Kipanki alidungwa mbu drones mwenye sumu ya kuattack heart leo yametimia.
Yupo yule wa Puerto Rico anawananga na kuwalaumu mabeberu kila siku juu ya kushindwa kwake,wanamuangalia tu
Heri mlevi anathamani kuliko muuaji Nani atasikilizwaNimesema utakufa tu utawaacha unaowachukia, maombi ya mlevi km wewe hayafiki hata usawa mlima Kilimanjaro
Kulewa sio dhambiNimesema utakufa tu utawaacha unaowachukia, maombi ya mlevi km wewe hayafiki hata usawa mlima Kilimanjaro
Heri mlevi anathamani kuliko muuaji Nani atasikilizwa
Tueleze kinachoendelea
Okay, umekuwa muungwana sana, labda ns mimi nimekosea kwa kutafsiri kwamba umepinga wakati lengo lilikuwa ni kujua.Mkuu I am so sorry,sikujua Kama nimepinga maana mie nikiona Kama wote wameandika kitu kimoja Ila toufauti ilikuwa ni lugha tu iliyotumika.Sasa ili kujilidhisha nikataka kujua 'masaa machache huwa ni masaa mangapi na siku chache huwa ni siku ngapi'' yaani hivyo tu
Yawezekana hakuwa na dat sahihi za hizo tarehe na maneno.Fact checking.
Bush alihutubia 19 September 2006. Chavez alihutubia 20 September 2006.
Uzi unasema saa chache.
Chavez alisema "Nahisi harufu ya shetani, alikuepo hapa jana na mpaka leo pananuka salfa"
Uzi unasema Chavez alimwita Bush mbwa.
Chavez kuumwa kwake kulikuja kujulikana na dunia 2011.
Uzi unasema siku chache.
Sasa kama taarifa public kama hii imepindishwa hizo nyingine za Kim itakuaje?
Technology ilikuwa bado tofauti na Sasa uchelewi wakikutaka tu
Sio Puerto Rico hiyo ipo sehemu ya Marekani na bajeti yake inatoka Washington. Uliyotaka kusema ni VenezuelaIle meeting na Trump haikuwa just meeting,yeye anatumia nguvu wenzake wanatumia akili,si atume Sasa zile kombora zikalipue kifo asife.Miaka 5 iliyopita nilisoma article kwamba Kipanki alidungwa mbu drones mwenye sumu ya kuattack heart leo yametimia.
Yupo yule wa Puerto Rico anawananga na kuwalaumu mabeberu kila siku juu ya kushindwa kwake,wanamuangalia tu